Skip to main content
BURIANI MAGUFULI: Mama Janeth Magufuli alipokabidhiwa bendera ya taifa baada ya maziko ikiwa ni ishara ya heshima na kumbukumbu ya utawala wa serikali ya awamu ya tano chini ya mumewe Hayati Dkt. John Magufuli. #BurianiMagufuli #RIPMagufuli #BurianiJPM
Comments