Ukweli kuhusu lowasa
kumekua na taarifa zilizo sambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu aliekua waziri mkuu wa tanzania mh edward lowasa kua amefariki taarifa izo sio za ukweli ila kwa sasa mh lowasa ni mgonjwa lakini anaendelea vizuri nahivi karibuni atarudi kwenye shughuri zake . kigogo mmoja wa serikali akizungumza nasi kwa simu
Comments